The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

.MOTM...
709604858.jpg
 
.Jude Jana alipotea kabisa na bado watu wanamhesabia ballon dor mwaka huu,[emoji16]
272372573.jpg
 
20240411_163657.jpg

Hawa lazima kuna kitu huwa wanafanyiana, sijui ni nani kati yao ni mwanamama.
 
Ila foden ni wa moto asee, amekua player wa matukio makubwa.
 
Liverpool washaanza uzombi, wamelambwa goli 3 ka wamesimama 😂
 
Liverpool washaanza uzombi, wamelambwa goli 3 ka wamesimama [emoji23]
Klopp Jana aliichukulia game kirahisi Sana ,kiufupi aliwazalau Sana Atlanta,wakamuonesha kuwa don't underestimate your opponent no matter what ....

Hapo ndipo pep huwa anamzid Klopp ...pep ana monster mentality ....
 
Rodri anaomba kupumzishwa amepata fatigue.

Leo ifanyike rotation tu japo haiwezi kua kubwa kulingana na ufinyu wa kikosi tulicho nacho kwa sasa sababu ya majeruhi & wagonjwa.
 
Rodri anaomba kupumzishwa amepata fatigue.

Leo ifanyike rotation tu japo haiwezi kua kubwa kulingana na ufinyu wa kikosi tulicho nacho kwa sasa sababu ya majeruhi & wagonjwa.
Ederson karudi ..

Nunez na kovacic pale Kati Naona wakianza ....

Leo kdb atakuwa uwanjani ..

Alvarez anaenda kuanza Leo ...

Bobb na doku kama winger zetu Naona wakicheza Leo ,....

Mabadiliko yakatukuwa hivo am sure 100%
 
Back line nayo inahitaji rotation ila sasa walker na ake wako vitandani.
 
Nina expect foden kuanzia benchi pia.

My line up.

Grealish .........Haaland............Doku

De bruyne.......kovacic.......Nunez

Gvar......... Diaz.........Stones.......Akanji

..........................Ederson
 
Back
Top Bottom