Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,361
- 21,680
.MOTM...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂 na Watu wakala fulu white lakin wapiWakafunga uwanjan juu na chini [emoji23]
Ilikua kupiga mabomba tu kitu kimo...hawa game ya pili tunawaadhibu ka last season.ilikuwa mwendo WA bullet shotsView attachment 2959526
Bernado katoka kufunga ndoa juzi tu ,ana mke wake ...View attachment 2960779
Hawa lazima kuna kitu huwa wanafanyiana, sijui ni nani kati yao ni mwanamama.
Klopp Jana aliichukulia game kirahisi Sana ,kiufupi aliwazalau Sana Atlanta,wakamuonesha kuwa don't underestimate your opponent no matter what ....Liverpool washaanza uzombi, wamelambwa goli 3 ka wamesimama [emoji23]
Hivi ikawa 1-1 game ya pili inakuwaje hapo?Madrid hajawahi kutoka etihad... Kazi ishaisha pale bernabeu.
Inaenda extra.Hivi ikawa 1-1 game ya pili inakuwaje hapo?
Ederson karudi ..Rodri anaomba kupumzishwa amepata fatigue.
Leo ifanyike rotation tu japo haiwezi kua kubwa kulingana na ufinyu wa kikosi tulicho nacho kwa sasa sababu ya majeruhi & wagonjwa.
Back line nayo inahitaji rotation ila sasa walker na ake wako vitandani.Ederson karudi ..
Nunez na kovacic pale Kati Naona wakianza ....
Leo kdb atakuwa uwanjani ..
Alvarez anaenda kuanza Leo ...
Bobb na doku kama winger zetu Naona wakicheza Leo ,....
Mabadiliko yakatukuwa hivo am sure 100%