Mzee game zetu saizi Ni do or die ,nikiuonesha speech za pep Kwa nyakati kama hizi Kila mchezaji anaroho ya Simba ....kiufupi Hakuna kucheka na nyani ....subili uone game zitakavoenda ...Na nyie mjikaze kwenye GD hapo ukipigwa au draw game mmoja Arsenal ashinde yake mtaamuliwa kwa GD au H2H
Man city played 33 games points 73 GD 44
Arsenal played 33 games points 71 GD 49
japo mna advantage ga easy fixtures zaidi yao ila bado anything can happen in football maana tunajua lazima mfe kwa spurs
kule tunawapiga spana Arsenal haimaanishi washatoka kwenye epl candidate hapana tunawapa ka reality na composure ya kutafakari ni jinsi gani wata amka na deal na mechi zao more mature kisha wapepo na points nyingi za kupambana na nyie
its not over you 115 ffp farmers
Shida ni kwamba tumeshaset the bar too high...imagine liverpool anamaliza na point 97 still hachukui kombe 😂😂hakuna kitu kinauma kama kuanza msimu ukijua kuwa mwisho wake city atabeba tena taji sasa nini maana yakushindana
yani miaka 8 iliyopita liver kabeba mara 1 city mara 7
msimu unaanza watu wakubwa wakina Mourinho wanatabiri city ana 51% Liverpool 49% ya kubeba ubingwa mwaka huu
hapana top team mwakani tufanye kama alicho fanya Leverkusen uko kwa bayern ikibidi mmoja wetu either
Arsenal
Liverpool
man utd
Chelsea
vila
spurs
wafanye usajiri wamaana kuja kustop hizi harakati za huyu mkulima mwenye 115 ffp charges
Mzeee acha tu ,Jana watu wamekula kichapo lakin MTU anakuja kutukana pep ,Mara pep aondoke [emoji23][emoji23]...Mara 115 charges .....Eti wanafungwa Arsenal na Liverpool kwa uzembe wao, lawama tunapewa city tunaifanya ligi iwe ya wakulima [emoji23][emoji23]
Confidence tuliyonayo saizi ,sioni Namna gani Madrid atachomoka kesho kutwa ..."we will give it everything"
Pep on City vs Madrid
Nitoe huko kwenye nuksi na gundu, em bhana wee.Yaani navyokuona mjanja kumbe ni man city, man utd inakuhitaj.
Jiandae na madrid kesho biashara sebuleni kwenu.Nitoe huko kwenye nuksi na gundu, em bhana wee.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mpaka nlikua nshasahau mara ya mwisho tumefungwa etihad lini kwenye UCLThe last time Manc City lost in the Champions League at the Etihad Stadium was in 2018 against Lyon. The referee of that match was Italian Daniele Orsato.
Daniele Orsato will be the referee for City's match against Real Madrid on Wednesday at the Etihad Stadium [emoji3063]
He previously refereed two matches between the two teams.
2-1 for Manchester City 2020
3-1 for Real Madrid 2022
He refereed 8 matches for Real Madrid, 4 wins, 4 defeats.
He refereed 6 matches for City, 4 wins, 2 defeats.View attachment 2964567