The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Na nyie mjikaze kwenye GD hapo ukipigwa au draw game mmoja Arsenal ashinde yake mtaamuliwa kwa GD au H2H

Man city played 33 games points 73 GD 44
Arsenal played 33 games points 71 GD 49

japo mna advantage ga easy fixtures zaidi yao ila bado anything can happen in football maana tunajua lazima mfe kwa spurs

kule tunawapiga spana Arsenal haimaanishi washatoka kwenye epl candidate hapana tunawapa ka reality na composure ya kutafakari ni jinsi gani wata amka na deal na mechi zao more mature kisha wapepo na points nyingi za kupambana na nyie

its not over you 115 ffp farmers
 
hakuna kitu kinauma kama kuanza msimu ukijua kuwa mwisho wake city atabeba tena taji sasa nini maana yakushindana

yani miaka 8 iliyopita liver kabeba mara 1 city mara 7
msimu unaanza watu wakubwa wakina Mourinho wanatabiri city ana 51% Liverpool 49% ya kubeba ubingwa mwaka huu

hapana top team mwakani tufanye kama alicho fanya Leverkusen uko kwa bayern ikibidi mmoja wetu either

Arsenal
Liverpool
man utd
Chelsea
vila
spurs

wafanye usajiri wamaana kuja kustop hizi harakati za huyu mkulima mwenye 115 ffp charges
 
Mzee game zetu saizi Ni do or die ,nikiuonesha speech za pep Kwa nyakati kama hizi Kila mchezaji anaroho ya Simba ....kiufupi Hakuna kucheka na nyani ....subili uone game zitakavoenda ...

Bado game 6 .....hizo game kwenda nazo straight win Ni kitu ambacho tulishafanya mara kibao ....

Saizi Hatuna majeruhi hata mmoja ...kikosi Kiko full mkoko ,Huyo Spurs atakaangwa Kama viazi vya chipsi subiri uone ...
 
hakuna kitu kinauma kama kuanza msimu ukijua kuwa mwisho wake city atabeba tena taji sasa nini maana yakushindana

yani miaka 8 iliyopita liver kabeba mara 1 city mara 7
msimu unaanza watu wakubwa wakina Mourinho wanatabiri city ana 51% Liverpool 49% ya kubeba ubingwa mwaka huu

hapana top team mwakani tufanye kama alicho fanya Leverkusen uko kwa bayern ikibidi mmoja wetu either

Arsenal
Liverpool
man utd
Chelsea
vila
spurs

wafanye usajiri wamaana kuja kustop hizi harakati za huyu mkulima mwenye 115 ffp charges
Shida ni kwamba tumeshaset the bar too high...imagine liverpool anamaliza na point 97 still hachukui kombe 😂😂

Hili la mwaka huu tukibeba ni kwasababu ya uzembe wa liverpool & Arsenal, kama wangeshinda game zao zote zilizobaki sie tungekua zetu tumetulia nafasi ya tatu hatuna noma na mtu.

Sasa mtu anapigwa 2-0 kwake, mwingine 1-0 Kwake hapo hatuna msaada nao, hili kombe tutachukua mpaka pale wapinzani watakapokua serious.
 
Eti wanafungwa Arsenal na Liverpool kwa uzembe wao, lawama tunapewa city tunaifanya ligi iwe ya wakulima [emoji23][emoji23]
Mzeee acha tu ,Jana watu wamekula kichapo lakin MTU anakuja kutukana pep ,Mara pep aondoke [emoji23][emoji23]...Mara 115 charges .....

Timu zao haziwezi kupambana uwanjan sijui hata wanataka nin
 
"we will give it everything"

Pep on City vs Madrid
Confidence tuliyonayo saizi ,sioni Namna gani Madrid atachomoka kesho kutwa ...

Mentality Ni kubwa mno kwenye team saizi ..

Tunaenda kumpika Madrid Ni swala la muda tu ...
 
The last time Manc City lost in the Champions League at the Etihad Stadium was in 2018 against Lyon. The referee of that match was Italian Daniele Orsato.

Daniele Orsato will be the referee for City's match against Real Madrid on Wednesday at the Etihad Stadium [emoji3063]

He previously refereed two matches between the two teams.

2-1 for Manchester City 2020
3-1 for Real Madrid 2022

He refereed 8 matches for Real Madrid, 4 wins, 4 defeats.
He refereed 6 matches for City, 4 wins, 2 defeats.
971980761.jpg
 
PEP [emoji187] (On Kyle Walker injury update) I will see the training, the last one or two training sessions he feels good... I don't know if from the bench or not but as Bernardo said it is good news. Today we have the last session and we will decide. Of course [Kyle] Walker is important. The attributes and quality of Kyle everyone knows it, he is special.
1730486345.jpg
 
The last time Manc City lost in the Champions League at the Etihad Stadium was in 2018 against Lyon. The referee of that match was Italian Daniele Orsato.

Daniele Orsato will be the referee for City's match against Real Madrid on Wednesday at the Etihad Stadium [emoji3063]

He previously refereed two matches between the two teams.

2-1 for Manchester City 2020
3-1 for Real Madrid 2022

He refereed 8 matches for Real Madrid, 4 wins, 4 defeats.
He refereed 6 matches for City, 4 wins, 2 defeats.View attachment 2964567
Mpaka nlikua nshasahau mara ya mwisho tumefungwa etihad lini kwenye UCL
 
Refa aliyechezesha game ya jana ya barca vs psg alikua analipa kisasi cha ile game ya 6-1 😂
 
Wahispaniola wawili jana wametupiwa virago, leo tunammalizia baba yao.
 
Jamie Carragher says he doesn't see any team in Europe to beat City.
 
Back
Top Bottom