The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

nyie wakulima mkifanikiwa kupita hapo kwa Madrid basi kijana wangu mbappe atawatafuna fainali
 
Wanaume wana UEFA moja ao ni wavulana
Mzee hapa Tanzania Hakuna anayeshabikia la liga ,zunguka weekend nzima uone kama Kuna MTU mwenye muda WA kuonesha Mallorca vs real Madrid game kwenye kibanda umiza .......au anayezungumzia Madrid tofauti na kipindi cha UEFA tu ...

Mim nakushangaa tu [emoji23] we jamaa sijui WA wapi ,baada ya game Leo UEFA sijui kama tutakuona Tena jukwaani maana huna utakalokuwa unazungumzia ....

Ligi Ni moja tu EPL
 
Reactions: K11
Ngonja dakika 10 za mwanzo nitakuwa nishaona picha halisi ya game ..
 
Kwa upande wangu naona game itakua ngumu zaidi kama madrid wakiamua kukaa nyuma sababu tutakua tumesambaa mno na beki zetu haziba speed ukiacha walker.

Tukicheza kwa kupishana hapo tutawamaliza, kdb na foden lazma watamu unlock haaland.
Muda umewadia, acha tuone
 
Mbappe fainali hafiki, sancho anamalizana nae mapemaa.
Mbappe final its must... huyo kijana ndio Goat wa this generation
tulia uone Miracles zake following his idols (cr7) footsteps
 
Njoo Nyumbani ucheki mechi mbona hujiamini kama huna Nauli ya daladala nitakulipia mbona una Mambo mengi unapewa ofa afu unaogopa ogopa
 
Kama beki zetu wasipokuwa makin tutakuwa tunafungwa magoli ya ajabu ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…