The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

nyie wakulima mkifanikiwa kupita hapo kwa Madrid basi kijana wangu mbappe atawatafuna fainali
 
Wanaume wana UEFA moja ao ni wavulana
Mzee hapa Tanzania Hakuna anayeshabikia la liga ,zunguka weekend nzima uone kama Kuna MTU mwenye muda WA kuonesha Mallorca vs real Madrid game kwenye kibanda umiza .......au anayezungumzia Madrid tofauti na kipindi cha UEFA tu ...

Mim nakushangaa tu [emoji23] we jamaa sijui WA wapi ,baada ya game Leo UEFA sijui kama tutakuona Tena jukwaani maana huna utakalokuwa unazungumzia ....

Ligi Ni moja tu EPL
 
  • Thanks
Reactions: K11
Ndo maana nikasema moment ya kushambuliwa akina nani watakaba?, ila nilichokiona hicho kikosi cha Madrid backline yao mzuri ni Rudger pekee, hivyo timu italazimishwa kukaa nyuma , kupishana ni ngumu, lakini ikitokea wakacheza kama walivyocheza game ya kwanza first half, mnaweza shindwa kufuzu nyumbani kwenu.
Ngonja dakika 10 za mwanzo nitakuwa nishaona picha halisi ya game ..
 
Kwa upande wangu naona game itakua ngumu zaidi kama madrid wakiamua kukaa nyuma sababu tutakua tumesambaa mno na beki zetu haziba speed ukiacha walker.

Tukicheza kwa kupishana hapo tutawamaliza, kdb na foden lazma watamu unlock haaland.
Muda umewadia, acha tuone
 
Mbappe fainali hafiki, sancho anamalizana nae mapemaa.
Mbappe final its must... huyo kijana ndio Goat wa this generation
tulia uone Miracles zake following his idols (cr7) footsteps
 
Mzee hapa Tanzania Hakuna anayeshabikia la liga ,zunguka weekend nzima uone kama Kuna MTU mwenye muda WA kuonesha Mallorca vs real Madrid game kwenye kibanda umiza .......au anayezungumzia Madrid tofauti na kipindi cha UEFA tu ...

Mim nakushangaa tu [emoji23] we jamaa sijui WA wapi ,baada ya game Leo UEFA sijui kama tutakuona Tena jukwaani maana huna utakalokuwa unazungumzia ....

Ligi Ni moja tu EPL
Njoo Nyumbani ucheki mechi mbona hujiamini kama huna Nauli ya daladala nitakulipia mbona una Mambo mengi unapewa ofa afu unaogopa ogopa
 
Back
Top Bottom