The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

FA English Officials na ratiba zao zinawafanya wachezaji wenu wawe overworked
yani watu wanatoka kucheza juma tano UCL dakika 120 then juma pili wapo kwenye michuano ya FA

Hizi mambo ndizo zilizopelekea downfall ya Liverpool baada ya kukimbizia Quadruple mnamo mwaka 2021/22 wakapata injury na fatigue zakutosha mpaka klopp alianza kulalamika ila watu hawakumchukulia serious

this is a warning signs pep kaanza kulalamika anajua kisu kilicho tumika kumchinjia Liverpool ndicho kinachotumia kwajili yao
 
Tumecheza CL jumatano mkuu Tena 120dakika na real Madrid.....tunakuja kucheza Tena jumamosi ...

Jana wachezaji wetu walikuwa wamechoka Sana ....but they give everything

See you to the final ....


Kama man utd akipita basi tunaenda Tena kuwapiga Hakuna Namna nyingine [emoji23]
 
Yaani Leo nyumbu anatutisha kwamba atatupiga final ya fa na bado hajafuzu ....kweli maajabu yapo[emoji1787][emoji1787]
 
Az long as Txiki Yuko pale mnasubili downfall ya city mnasafari kubwa Sana ....

Hakuna Rangi mtaacha kuona ...
 
Usitumie scenario ya liverpool kufananisha na city.

Kwanza kabisa, City tumeshapitia misimu ambayo ratiba yetu ilikua tight sana misimu kadhaa nyuma.

2018/19- tulikimbiza makombe yote matatu ya ndani na kubeba mbele ya upinzani mkali wa liverpool ( EPL, FA, CARABAO), UEFA tukatoka robo fainali.

2020/2021- tulifukuzia makombe yote 4
- Epl tukabeba
-FA tukafika semi final
-Carabao tukachukua
-UEFA tukafika final

2021/22 tulikimbizana na liverpool kwa point moja mpaka tukabeba EPL, UEFA tukafika semis, FA semis.

2022/23 huu msimu ndio ulikua tight kuliko misimu mingine yoote plus kubanana kwa ratiba sababu ya World cup.

EPL tukachukua, UEFA tukachukua, FA tukachukua.

Hiyo downfall ilitakiwa tuwe tumeanza kuiona effect yake mpaka sasa but still,

2023/24 tupo njiani kuchukua EPL & FA cup.
Unaongelea swala la ratiba kana kwamba ni jambo tuliloanza kukumbana nalo msimu huu, my friend, we are used to it.


Jambo jingine angalia usajili wa liverpool na city then utagundua kwanini liverpool wamekutana na downfall mapema.

Kila msimu unapoanza utaona kikosi cha city huwa kinakua fresh kutokana na sajili mpya, Liverpool usajili wao wa kusuasua, wachezaji waliokimbizana nao kwa misimu 2 hadi 3 non stop unakuta mostly ndio haohao wanategemewa kikosini kitu ambacho ni kigumu kukikuta city.

Ukiacha KDB, hakuna mchezaji/wachezaji ambao wamekua tegemeo la timu kwa zaidi ya misimu 2&3 mfululizo pale city.

Misimu mitatu ya kwanza ya pep pale city (2016-2019) timu ilikua mabegani mwa watu kama david silva, KDB, kompany, sane.

2020-2021 timu inabebwa na KDB, cancelo, ruben diaz,fernandinho.

2022-2023 timu inabebwa na KDB, rodri,gundogan,bernado, stones.

Unaona kabisa evolution ya kikosi with time, nenda liverpool

2017-2022 timu inaendeshwa kwa fuel ya salah, mane, Henderson, van dijk, robertson, trent, allison ambao kila msimu wanatoa their maximum output kwa mapumziko kidogo kwanini usipate downfall?


Anyway, downfall zipo lakini sio mapema kama unavyotabiri na wala sio kwa sababu ulizotoa hapo, bado tupo nanyi sana tu.
 
Pep Guardiola on Brighton (A): "Tomorrow is one of the toughest games of the season. If you put in my calendar, it's one of the toughest ones, for the way they play." [via IanCheeseman]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…