Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisaaa ni kuzichukua tyuu, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]EPL na FA hatuziachi walahi.
Tumecheza CL jumatano mkuu Tena 120dakika na real Madrid.....tunakuja kucheza Tena jumamosi ...FA English Officials na ratiba zao zinawafanya wachezaji wenu wawe overworked
yani watu wanatoka kucheza juma tano UCL dakika 120 then juma pili wapo kwenye michuano ya FA
Hizi mambo ndizo zilizopelekea downfall ya Liverpool baada ya kukimbizia Quadruple mnamo mwaka 2021/22 wakapata injury na fatigue zakutosha mpaka klopp alianza kulalamika ila watu hawakumchukulia serious
this is a warning signs pep kaanza kulalamika anajua kisu kilicho tumika kumchinjia Liverpool ndicho kinachotumia kwajili yao
Reds gani unaowasema wee jamaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787] cheki huyu ....labda Lady gagaY'all Don't Get your Hopes up the Reds Are Coming for you
Ndo hapo huyo jamaa naona anajifurahisha tu, Txiki Begiristain the genius.Az long as Txiki Yuko pale mnasubili downfall ya city mnasafari kubwa Sana ....
Hakuna Rangi mtaacha kuona ...
Usitumie scenario ya liverpool kufananisha na city.FA English Officials na ratiba zao zinawafanya wachezaji wenu wawe overworked
yani watu wanatoka kucheza juma tano UCL dakika 120 then juma pili wapo kwenye michuano ya FA
Hizi mambo ndizo zilizopelekea downfall ya Liverpool baada ya kukimbizia Quadruple mnamo mwaka 2021/22 wakapata injury na fatigue zakutosha mpaka klopp alianza kulalamika ila watu hawakumchukulia serious
this is a warning signs pep kaanza kulalamika anajua kisu kilicho tumika kumchinjia Liverpool ndicho kinachotumia kwajili yao
Kwa huu mwendo wa arsenal, inabidi tushinde game zote zilizobaki, kuwapata kwenye GD litakua jambo gumu sana.