Mtamkumbuka mancini ... ... ... nawatakia ushindi leo.
Mkuu, hongereni sana... Naona mmetoa gundu!
Nina wasiwasi leo MANU wanaweza kuchapwa 4-0 maana ngome yao inapwaya sana. HT MANC 2-0
Nina wasiwasi leo MANU wanaweza kuchapwa 4-0 maana ngome yao inapwaya sana. HT MANC 2-0
Hongereni kuvuna 3 points
tena kutoka kwa neighbour wetu..
Speed mia ishirini