The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Na
Arsenal wako na Arteta ....mwanafunzi WA pep

Chelsea wako na Enzo ....mwanafunzi WA pep ...

Buyern wako na Kompany.....mwanafunzi WA pep

Hao wote Ni wanataka kuja kutufunga sis the giant Manchester city ....ndoto za mchana
Nani kakuambia Arteta ni mwanafunzi wa Pep?

Arteta alikuwa msaidizi tu wa Pep, na alikuwa naampa Pep madini kibao tu.
 
Naona nyie wahuni mlivyoona zile 115 zinanukia mkaamua kuwashtaki Premier League faster.
Pesa ina raha aisee.
Mnanikumbusha jinsi akina Coca Cola walivyukuwa wanashataki wanaharakati wa afya au watafiti waliokuwa wanasema soda zinasababisha kisukari.
 
Naona nyie wahuni mlivyoona zile 115 zinanukia mkaamua kuwashtaki Premier League faster.
Pesa ina raha aisee.
Mnanikumbusha jinsi akina Coca Cola walivyukuwa wanashataki wanaharakati wa afya au watafiti waliokuwa wanasema soda zinasababisha kisukari.
Baada ya kushinda makombe Bila FFP timu zenu zikaamua kuanzisha Sheria ya FFP 2012 ili mbaki kuwa wakubwa tu pekee yenu mpaka mwisho WA Dunia😂
 
Tuna bomoa hizo 115 charge na tunaenda kutoa Sheria kandamizi za FFp ambazo Kazi yake Ni kulinda et "traditional club" yaani Sisi tukae mpaka 2060 tunaaminishwa man utd , Liverpool ndio timu kubwa ...au sijui Arsenal .....😂
 
Baada ya kushinda makombe Bila FFP timu zenu zikaamua kuanzisha Sheria ya FFP 2012 ili mbaki kuwa wakubwa tu pekee yenu mpaka mwisho WA Dunia😂
Nyie fanyeni uhuni halafu mjidai eti FFP inawakandamiza. Nyie mnatumia pesa kufanya uhuni kwenye game. Ila mkuki kwa nguruwe.... najua wewe huwezi ama hutaki kuona uovu wa timu yako.
 
Nyie fanyeni uhuni halafu mjidai eti FFP inawakandamiza. Nyie mnatumia pesa kufanya uhuni kwenye game. Ila mkuki kwa nguruwe.... najua wewe huwezi ama hutaki kuona uovu wa timu yako.
Tunaenda kuondoa Sheria zote kandamizi hapo EPL soon ,na inawezekana
 
mtalimwa faini, mtanyang'anywa makombe na kushushwa madaraja. uhalifu na uhuni siyo dili.
Ni chombo gani kilichunguza kuwa united na Arsenal hawakutumia pesa nyingi Sana kuzidi club nyingine wakati wanajichukulia makombe miaka ya nyuma ...
Newcastle alifuzu CL lakin akazuiwa kusajili kisa FFP,alishindwa kuwekeza ndio maana hakufanya vzuri CL .....

Astonvilla kafuzu CL lakin kazuiwa kusajili mpaka auze wachezaji .......huko CL Hakuna kitu anaenda kufanya ,utaona mwenyewe

United IPO nafasi ya nane lakin IPO free kusajili .........kisa et fanbase ,mapato makubwa ....hapa ndio utapeli ulipoooo kama hujajua ......

Baadhi ya FFP Sheria Ni kandamizi kuzizuia timu ndogo zisifikie mafanikio timu kubwa ,zinalinda hizo timu kubwa za zamani not fair...

Timu kubwa baada ya kushinda makombe huko zamani Bila FFP wakaamua kutengeneza mfumo ambao Hakuna timu yeyote itakayokuja kuwafikia mafanikio ,hizo timu zibaki pekee yake zikiibwa kama timu kubwa (man U , Liverpool &Arsenal )........ndio maana timu yeyote inayotaka kufikia mafanikio yao ,wanaichukia waziwazi,na hii ndio nature ya binadamu hataki kupitwa najua ,but this is football ,play fair ,..,.........

Hizo timu mnazoita kubwa zinatumia pesa nyingi Lakin hazifanyi lolote uwanjan ,....

Hizo Sheria kandamizi ndio zinaenda kuibuliwa na kuangaliwa upya ,kama united anatumia pesa basi na timu ndogo zitumie pesa hivo hivo sawa sawa na united kupambania EPL ....

Sio united anatumia 1billion kupambania EPL ,harafu villa ,au city au Newcastle akituma hio hio 1billion kupambania EPL iwe kosa ......!

Hilo ndio city anapambania kuitaka PL iwe na usawa ,...

Mangine unayoyaona Ni wivu ,husda ,chuki .....hizo timu mnazoita elite club nazo zinapambana kuwa owned by arab ,kiufupi wanatamani kumilikiwa na waarabu kama city alivyo lakin hawawezi ...
 
Liverpool wakitaka waarabu
 

Attachments

  • 20240606_175051.jpg
    185.1 KB · Views: 14
Tumejitahidi kukuelewesha mara nyingi ila tumekubali kuwa wewe hata uambiwe nini hutakubali ukweli.
Hakuna noma, baki na maoni yako. Tunajua pia kuwa hamtapewa adhabu yoyote kwa sababu hakuna haki hapa. Mpaka serikali za Uingereza na Qatar zimeliongelea suala lenu, unaona kabisa haki ya mchezo ina umuhimu mdogo kuliko mahusiano ya hizi serikali mbili, hivyo kuna uwezekano mkubwa wa nyie kuponyoka na uhuni wenu.

Ikitokea haki ikatendeka, nyie ni wa daraja la tatu au la nne huko .

Hata hivyo, hii ni shida kwa Chlekenge na Manyumbu. Sisi tunawataka msimu ujao maana tunataka kuchukua ubingwa mbele ya Pep na City, hivyo bakini tu tupambane.
 
Wakati nyie mnachukua makombe mlikuwa mnatumia pesa nyingi ....

Hakuna aliyewagusa ...



Ni wivu tu
 
Carlo Ancelotti: “Real Madrid will NOT go to the FIFA World Club, we will reject the invitation like other clubs”.

“Just one single Real Madrid match is worth €20m and they want to give us that money for the whole competition… no way. Negative”, told Il Giornale.
 
Naona real Madrid hawataki kucheza CWC kisa pesa Ni ndogo ....

Leo ukiwambia watu mpira Ni pesa ,wananza kusema passion, 😂.....

If doesn't make money ,doest make sense ....
 
UEFA walikurupuka hivo hivo ,walipewa email na message za wasap kuhusu man city kuvunja FFP ...

Badae wakatoa taarifa rasmii Bila kusikiliza upande WA pili kuwa tumefungiwa UEFA ...

Tukachukua mafaili na vitabu vyetu vya mapato na matumizi tukatinga mahakamani na mawakili 32 ...

Wao UEFA wakiwa na ushahidi za email na message za WhatsApp za wahuni ambao hawana utetezi ...

Badae wao wenyewe UEFA wakaja kugundua Ni uongo tunazushiwa ....

PL na wao wanakuja hivo hivo , chairman ana email na message za WhatsApp 😂...

This time tuna ingia mahakamani na vitabu vya mapato na matumizi ,mawakili 100,pl chairman yule tapeli anayeshabikia arsenal atakuwa na email za mchongo ....tunaenda kumnyoosha,mpaka atajuta ....

We will be judged by fact ....

Hii Ni documents ya UEFA baada ya kuona kuwa email hazina ushahidi Ni wivu .....hata pl watakuja na documents ya kuomba msamaha soon ....baada ya kuona ukweli ...Ni swala la muda tu

Keep watching
 

Attachments

  • 20240610_131612.jpg
    337.1 KB · Views: 11
Sema wanetu Kuna namna mnatukosesha raha.
Sema siku hizi za karibuni, kidogo tumekula sahani moja,
Ila msimu huu dawa yenu imeisha patikana hamto sumbua..
 
Timu yenyewe man City ndio inayo chukiwa au unaota mkuu ??

Mnalazimisha kuchukiwa badoo nyie mjaanza kuchukiwa na kufanyiwa unyamaa.
 

Ubingwa wa nini mnataka kuchukua?
 

Vitu kama ivi mashabiki wa Asernal, manure na Liverpool hawawezi kusoma. Wao wanataka habari nyepesi nyepesi kama zile za udaku. Hamisi kwa sasa amewakimbia amewajaza mashabiki wa Arsenal umbea umbea sasa kawakimbia
 
Naona saizi EPL game zote zitakuwa zinachezwa siku ya jumamosi saa 17:00 zote Kwa pamoja ....



Sijui wameona nin 😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…