Superficial
JF-Expert Member
- Nov 25, 2023
- 232
- 471
Alafu muda huo itakuwa na downfall kubwa sanaNajua Kompany atakuja kuwa kocha WA man city ....
Hata kama asipofanya vzuri buyern Munich ...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alafu muda huo itakuwa na downfall kubwa sanaNajua Kompany atakuja kuwa kocha WA man city ....
Hata kama asipofanya vzuri buyern Munich ...
Nani kakuambia Arteta ni mwanafunzi wa Pep?Arsenal wako na Arteta ....mwanafunzi WA pep
Chelsea wako na Enzo ....mwanafunzi WA pep ...
Buyern wako na Kompany.....mwanafunzi WA pep
Hao wote Ni wanataka kuja kutufunga sis the giant Manchester city ....ndoto za mchana
Baada ya kushinda makombe Bila FFP timu zenu zikaamua kuanzisha Sheria ya FFP 2012 ili mbaki kuwa wakubwa tu pekee yenu mpaka mwisho WA Dunia😂Naona nyie wahuni mlivyoona zile 115 zinanukia mkaamua kuwashtaki Premier League faster.
Pesa ina raha aisee.
Mnanikumbusha jinsi akina Coca Cola walivyukuwa wanashataki wanaharakati wa afya au watafiti waliokuwa wanasema soda zinasababisha kisukari.
Nyie fanyeni uhuni halafu mjidai eti FFP inawakandamiza. Nyie mnatumia pesa kufanya uhuni kwenye game. Ila mkuki kwa nguruwe.... najua wewe huwezi ama hutaki kuona uovu wa timu yako.Baada ya kushinda makombe Bila FFP timu zenu zikaamua kuanzisha Sheria ya FFP 2012 ili mbaki kuwa wakubwa tu pekee yenu mpaka mwisho WA Dunia😂
Tunaenda kuondoa Sheria zote kandamizi hapo EPL soon ,na inawezekanaNyie fanyeni uhuni halafu mjidai eti FFP inawakandamiza. Nyie mnatumia pesa kufanya uhuni kwenye game. Ila mkuki kwa nguruwe.... najua wewe huwezi ama hutaki kuona uovu wa timu yako.
mtalimwa faini, mtanyang'anywa makombe na kushushwa madaraja. uhalifu na uhuni siyo dili.Tunaenda kuondoa Sheria zote kandamizi hapo EPL soon ,na inawezekana
Ni chombo gani kilichunguza kuwa united na Arsenal hawakutumia pesa nyingi Sana kuzidi club nyingine wakati wanajichukulia makombe miaka ya nyuma ...mtalimwa faini, mtanyang'anywa makombe na kushushwa madaraja. uhalifu na uhuni siyo dili.
Tumejitahidi kukuelewesha mara nyingi ila tumekubali kuwa wewe hata uambiwe nini hutakubali ukweli.Ni chombo gani kilichunguza kuwa united na Arsenal hawakutumia pesa nyingi Sana kuzidi club nyingine wakati wanajichukulia makombe miaka ya nyuma ...
Newcastle alifuzu CL lakin akazuiwa kusajili kisa FFP,alishindwa kuwekeza ndio maana hakufanya vzuri CL .....
Astonvilla kafuzu CL lakin kazuiwa kusajili mpaka auze wachezaji .......huko CL Hakuna kitu anaenda kufanya ,utaona mwenyewe
United IPO nafasi ya nane lakin IPO free kusajili .........kisa et fanbase ,mapato makubwa ....hapa ndio utapeli ulipoooo kama hujajua ......
Baadhi ya FFP Sheria Ni kandamizi kuzizuia timu ndogo zisifikie mafanikio timu kubwa ,zinalinda hizo timu kubwa za zamani not fair...
Timu kubwa baada ya kushinda makombe huko zamani Bila FFP wakaamua kutengeneza mfumo ambao Hakuna timu yeyote itakayokuja kuwafikia mafanikio ,hizo timu zibaki pekee yake zikiibwa kama timu kubwa (man U , Liverpool &Arsenal )........ndio maana timu yeyote inayotaka kufikia mafanikio yao ,wanaichukia waziwazi,na hii ndio nature ya binadamu hataki kupitwa najua ,but this is football ,play fair ,..,.........
Hizo timu mnazoita kubwa zinatumia pesa nyingi Lakin hazifanyi lolote uwanjan ,....
Hizo Sheria kandamizi ndio zinaenda kuibuliwa na kuangaliwa upya ,kama united anatumia pesa basi na timu ndogo zitumie pesa hivo hivo sawa sawa na united kupambania EPL ....
Sio united anatumia 1billion kupambania EPL ,harafu villa ,au city au Newcastle akituma hio hio 1billion kupambania EPL iwe kosa ......!
Hilo ndio city anapambania kuitaka PL iwe na usawa ,...
Mangine unayoyaona Ni wivu ,husda ,chuki .....hizo timu mnazoita elite club nazo zinapambana kuwa owned by arab ,kiufupi wanatamani kumilikiwa na waarabu kama city alivyo lakin hawawezi ...
Wakati nyie mnachukua makombe mlikuwa mnatumia pesa nyingi ....Tumejitahidi kukuelewesha mara nyingi ila tumekubali kuwa wewe hata uambiwe nini hutakubali ukweli.
Hakuna noma, baki na maoni yako. Tunajua pia kuwa hamtapewa adhabu yoyote kwa sababu hakuna haki hapa. Mpaka serikali za Uingereza na Qatar zimeliongelea suala lenu, unaona kabisa haki ya mchezo ina umuhimu mdogo kuliko mahusiano ya hizi serikali mbili, hivyo kuna uwezekano mkubwa wa nyie kuponyoka na uhuni wenu.
Ikitokea haki ikatendeka, nyie ni wa daraja la tatu au la nne huko .
Hata hivyo, hii ni shida kwa Chlekenge na Manyumbu. Sisi tunawataka msimu ujao maana tunataka kuchukua ubingwa mbele ya Pep na City, hivyo bakini tu tupambane.
UEFA walikurupuka hivo hivo ,walipewa email na message za wasap kuhusu man city kuvunja FFP ...Tumejitahidi kukuelewesha mara nyingi ila tumekubali kuwa wewe hata uambiwe nini hutakubali ukweli.
Hakuna noma, baki na maoni yako. Tunajua pia kuwa hamtapewa adhabu yoyote kwa sababu hakuna haki hapa. Mpaka serikali za Uingereza na Qatar zimeliongelea suala lenu, unaona kabisa haki ya mchezo ina umuhimu mdogo kuliko mahusiano ya hizi serikali mbili, hivyo kuna uwezekano mkubwa wa nyie kuponyoka na uhuni wenu.
Ikitokea haki ikatendeka, nyie ni wa daraja la tatu au la nne huko .
Hata hivyo, hii ni shida kwa Chlekenge na Manyumbu. Sisi tunawataka msimu ujao maana tunataka kuchukua ubingwa mbele ya Pep na City, hivyo bakini tu tupambane.
Timu yenyewe man City ndio inayo chukiwa au unaota mkuu ??Ni chombo gani kilichunguza kuwa united na Arsenal hawakutumia pesa nyingi Sana kuzidi club nyingine wakati wanajichukulia makombe miaka ya nyuma ...
Newcastle alifuzu CL lakin akazuiwa kusajili kisa FFP,alishindwa kuwekeza ndio maana hakufanya vzuri CL .....
Astonvilla kafuzu CL lakin kazuiwa kusajili mpaka auze wachezaji .......huko CL Hakuna kitu anaenda kufanya ,utaona mwenyewe
United IPO nafasi ya nane lakin IPO free kusajili .........kisa et fanbase ,mapato makubwa ....hapa ndio utapeli ulipoooo kama hujajua ......
Baadhi ya FFP Sheria Ni kandamizi kuzizuia timu ndogo zisifikie mafanikio timu kubwa ,zinalinda hizo timu kubwa za zamani not fair...
Timu kubwa baada ya kushinda makombe huko zamani Bila FFP wakaamua kutengeneza mfumo ambao Hakuna timu yeyote itakayokuja kuwafikia mafanikio ,hizo timu zibaki pekee yake zikiibwa kama timu kubwa (man U , Liverpool &Arsenal )........ndio maana timu yeyote inayotaka kufikia mafanikio yao ,wanaichukia waziwazi,na hii ndio nature ya binadamu hataki kupitwa najua ,but this is football ,play fair ,..,.........
Hizo timu mnazoita kubwa zinatumia pesa nyingi Lakin hazifanyi lolote uwanjan ,....
Hizo Sheria kandamizi ndio zinaenda kuibuliwa na kuangaliwa upya ,kama united anatumia pesa basi na timu ndogo zitumie pesa hivo hivo sawa sawa na united kupambania EPL ....
Sio united anatumia 1billion kupambania EPL ,harafu villa ,au city au Newcastle akituma hio hio 1billion kupambania EPL iwe kosa ......!
Hilo ndio city anapambania kuitaka PL iwe na usawa ,...
Mangine unayoyaona Ni wivu ,husda ,chuki .....hizo timu mnazoita elite club nazo zinapambana kuwa owned by arab ,kiufupi wanatamani kumilikiwa na waarabu kama city alivyo lakin hawawezi ...
Tumejitahidi kukuelewesha mara nyingi ila tumekubali kuwa wewe hata uambiwe nini hutakubali ukweli.
Hakuna noma, baki na maoni yako. Tunajua pia kuwa hamtapewa adhabu yoyote kwa sababu hakuna haki hapa. Mpaka serikali za Uingereza na Qatar zimeliongelea suala lenu, unaona kabisa haki ya mchezo ina umuhimu mdogo kuliko mahusiano ya hizi serikali mbili, hivyo kuna uwezekano mkubwa wa nyie kuponyoka na uhuni wenu.
Ikitokea haki ikatendeka, nyie ni wa daraja la tatu au la nne huko .
Hata hivyo, hii ni shida kwa Chlekenge na Manyumbu. Sisi tunawataka msimu ujao maana tunataka kuchukua ubingwa mbele ya Pep na City, hivyo bakini tu tupambane.
UEFA walikurupuka hivo hivo ,walipewa email na message za wasap kuhusu man city kuvunja FFP ...
Badae wakatoa taarifa rasmii Bila kusikiliza upande WA pili kuwa tumefungiwa UEFA ...
Tukachukua mafaili na vitabu vyetu vya mapato na matumizi tukatinga mahakamani na mawakili 32 ...
Wao UEFA wakiwa na ushahidi za email na message za WhatsApp za wahuni ambao hawana utetezi ...
Badae wao wenyewe UEFA wakaja kugundua Ni uongo tunazushiwa ....
PL na wao wanakuja hivo hivo , chairman ana email na message za WhatsApp [emoji23]...
This time tuna ingia mahakamani na vitabu vya mapato na matumizi ,mawakili 100,pl chairman yule tapeli anayeshabikia arsenal atakuwa na email za mchongo ....tunaenda kumnyoosha,mpaka atajuta ....
We will be judged by fact ....
Hii Ni documents ya UEFA baada ya kuona kuwa email hazina ushahidi Ni wivu .....hata pl watakuja na documents ya kuomba msamaha soon ....baada ya kuona ukweli ...Ni swala la muda tu
Keep watching