The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Yani kdb wiki zote hizo bado hayupo fiti tu kua anaanza?
 
Anyway anfield huwa kutoboa kwetu ni droo hata liva iwe mbovu vipi ama tuwe kwenye form ipi, ukiacha game 1 pekee.
 
Anyway anfield huwa kutoboa kwetu ni droo hata liva iwe mbovu vipi ama tuwe kwenye form ipi, ukiacha game 1 pekee.
Mechi 7 mfululizo, sare 1 vichapo 6.

Hakika janja janja ya kipara imefika mwisho.
Wanakuachia mpira uchezee kisha unapigwa counter attack biashara inaishia hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…