The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Toka tuanze hii winless streak, magoli mengi tunayofungwa yanatokana na individual errors.

Hii inaonyesha kwamba pamoja na matatizo yetu yoote, kukosa kujiamini kwa wachezaji ndiko kunatuangusha.

Tupo kwenye hii vicious cycle.
Kufungwa game 2 za mwanzo kulipunguza confidence ya wachezaji, kukapelekea kufanya makosa yanayoigharimu timu na kupoteza mechi, ambako kunapelekea wachezaji kukosa confidence zaidi and on it goes.

Kutibu hii ni tushinde walau game 2 mfululizo ama kama ni moja basi tushinde 5+

Game na Nottingham forest ndiyo opportunity ya kuvunja hii.
 
Wachezaji kama Ederson, Gvardiol, ambao walikua ni top performers mwanzoni mwa ligi sasahivi wamedrop sababu ya kukosa confidence.

Ujio wa Dias, Doku na stability ya Ake naona unaweza kutunufaisha kuanzia hapa.
 
Jana mashabiki wa Liva wanamuimbia pep kwamba atafukuzwa asubuhi ya leo.

Mwamba kawanyooshea vidole sita, hiyo ni kuwaambia "I've won six f*cking PL titles you douche bags"
 
Walker siku zinavyozidi kwenda anazidi kuwa worse.

Inabidi Lewis awe anaanza sasa kule kulia huku tunatafuta right back mwingine, walker kawa mzigo sana.
 
Msimu wa 2020/2021 kipindi kama hiki tulikua nafasi ya 6 kama sio ya 7.
Ule msimu tunapigwa mpaka 5 na Leicester.

Kelele zikawa nyingi sana tukahisi city inaenda kupotea.

Mwezi May tukatanganza ubingwa.

Hizi kauli za "pep washamjulia" "zama za pep zimefika mwisho" hazijaanza msimu huu.
 
***** endelea kujifariji kwanza tanzania hamna mashabik wa man shity , wote nyie mamluki rudini kwenye timu zenu za awali mbovu,
Kichwa chako kitakua kimejaa mavi badala ya akili kama unafikiria liverpool hii inayocheza soka safi la kimbinu kwamba itapoteza muelekeo na nyie muwe mabingwa. [emoji706]
 
wapi nimesema tutakua mabingwa? unakuja na maneno yako mfukoni halafu unaniletea makasiriko mimi.
 
Msimu wa 2020/2021 kipindi kama hiki tulikua nafasi ya 6 kama sio ya 7.
Ule msimu tunapigwa mpaka 5 na Leicester.

Kelele zikawa nyingi sana tukahisi city inaenda kupotea.

Mwezi May tukatanganza ubingwa.

Hizi kauli za "pep washamjulia" "zama za pep zimefika mwisho" hazijaanza msimu huu.
Oyaa! Wenzio walikimbia uzi baada ya kuona timu haieleweki ukabaki pekee yako sasa ni mwendo wa kujiongelesha mwenyewe tu😂
 
Nani kaiba bunduki ya huyu boya
 
Attachments

  • 20241202_155238.jpg
    20241202_155238.jpg
    205 KB · Views: 6
Jana mashabiki wa Liva wanamuimbia pep kwamba atafukuzwa asubuhi ya leo.

Mwamba kawanyooshea vidole sita, hiyo ni kuwaambia "I've won six f*cking PL titles you douche bags"
Mi nilifikiri anamaanisha kapoteza mechi ya 6 mfululizo
 
Sijui kwanini tu, pamoja na kwamba tumepoteza ila nina amani kabisa na imani kwamba hii ndo game yetu ya mwisho ku suffer kwa mwaka huu.

Something positive is building up.
Mnaona inafuata ratiba nyepesi 😅😅😅
 
Stay humble eh...na bado!
 
Attachments

  • 20241202_165249.jpg
    20241202_165249.jpg
    210.2 KB · Views: 5
Jana mashabiki wa Liva wanamuimbia pep kwamba atafukuzwa asubuhi ya leo.

Mwamba kawanyooshea vidole sita, hiyo ni kuwaambia "I've won six f*cking PL titles you douche bags"
Alimaanisha amepokea vipigo 6 kati ya mechi 7
 
Wachezaji kama Ederson, Gvardiol, ambao walikua ni top performers mwanzoni mwa ligi sasahivi wamedrop sababu ya kukosa confidence.

Ujio wa Dias, Doku na stability ya Ake naona unaweza kutunufaisha kuanzia hapa.
Safari hii hatuwacheki tena bali tunawaonea huruma
 
Back
Top Bottom