Herzogg
JF-Expert Member
- Apr 17, 2024
- 2,179
- 738
Mechi 7Mechi 7 mfululizo, sare 1 vichapo 6.
Hakika janja janja ya kipara imefika mwisho.
Wanakuachia mpira uchezee kisha unapigwa counter attack biashara inaishia hapo.
Magoli ya kufunga 7
Magoli ya kufungwa 17
Wastani wa ufungaji-goli 1 kwa mechi
Wastani wa ufungwaji-goli 2.71
Hili li janga.