Herzogg
JF-Expert Member
- Apr 17, 2024
- 2,179
- 738
Toka tuanze hii winless streak, magoli mengi tunayofungwa yanatokana na individual errors.
Hii inaonyesha kwamba pamoja na matatizo yetu yoote, kukosa kujiamini kwa wachezaji ndiko kunatuangusha.
Tupo kwenye hii vicious cycle.
Kufungwa game 2 za mwanzo kulipunguza confidence ya wachezaji, kukapelekea kufanya makosa yanayoigharimu timu na kupoteza mechi, ambako kunapelekea wachezaji kukosa confidence zaidi and on it goes.
Kutibu hii ni tushinde walau game 2 mfululizo ama kama ni moja basi tushinde 5+
Game na Nottingham forest ndiyo opportunity ya kuvunja hii.