The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Mechi 7 mfululizo, sare 1 vichapo 6.

Hakika janja janja ya kipara imefika mwisho.
Wanakuachia mpira uchezee kisha unapigwa counter attack biashara inaishia hapo.
Mechi 7
Magoli ya kufunga 7
Magoli ya kufungwa 17
Wastani wa ufungaji-goli 1 kwa mechi
Wastani wa ufungwaji-goli 2.71

Hili li janga.
 
Ake jana alijitahidi kum handle salah.
Katika wachezaji walio perform vizuri jana ni Ake, msimu wa 2022/23 wakati tupo kwenye situation kama hii, wachezaji wengi hawakua on form ila Ake alikua exceptional.
 
Pep

"I have the feeling that from here we start to build something. Call me delusional but I have the feeling that from here we will start to build back to winning games and confidence"

I've got the same feeling, hii game ndio turning point.
 
Sijui kwanini tu, pamoja na kwamba tumepoteza ila nina amani kabisa na imani kwamba hii ndo game yetu ya mwisho ku suffer kwa mwaka huu.

Something positive is building up.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…