Dhambi ya ubaguzi inamuandama jamaa. Sitasahau alivyomfanyia figisu Raheem Sterling hadi akakosa kutunukiwa Balloon dor.Hakuna Marefu yasiyo na Nchaa
Upara kama ni simu basi wametoa Lock
Mbinu na Formation zote zimekuwa exposed ni Kazi ya kocha tu kujua nakabilianaje na City ila Kila Kocha atajipigia tu.
Hebu eleza hii kidogo Mkuu, ilikuwaje?Dhambi ya ubaguzi inamuandama jamaa. Sitasahau alivyomfanyia figisu Raheem Sterling hadi akakosa kutunukiwa Balloon dor.
Mambo vipi sports ladyHebu eleza hii kidogo Mkuu, ilikuwaje?
Mimi ubaguzi wake juu ya Yaya Toure uliniumiza sana.
Nilikuambia jana kuwa mtashenyentwa, umeona kilichotokea?Ila ana sare nyingi kuliko nyie wa vichapo 5 kati ya mechi 8
Master umepotelea wapi?9'
0-0