The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Leo Bernado silva anafikisha mechi yake ya 74 ya UCL akiwa na jezi ya City.
Snakua mchezaji wa city aliyecheza mechi nyingi zaidi za Uefa mbele ya Fernandinho (73)
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Na bado mbuzi nyie, Mourinho amesema atakula sahani moja na nyinyi kwenye yale mashtaka yenu 150 mpaka ahakikishe mmeshuka daraja.
Wakati timu pinzani wanafanya mazoezi nyie michezaji yenu kina Doku inagombania dressing table na wake zao ijipake lipshine [emoji105]
1733954498221.jpg
 
Hakuna Marefu yasiyo na Nchaa
Upara kama ni simu basi wametoa Lock
Mbinu na Formation zote zimekuwa exposed ni Kazi ya kocha tu kujua nakabilianaje na City ila Kila Kocha atajipigia tu.
Dhambi ya ubaguzi inamuandama jamaa. Sitasahau alivyomfanyia figisu Raheem Sterling hadi akakosa kutunukiwa Balloon dor.
 
Back
Top Bottom