whitemoney
JF-Expert Member
- Nov 9, 2023
- 1,161
- 2,454
Waliridhika sana hawa watoto wa pande zileMtarudi kwenye timu zenu OG
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waliridhika sana hawa watoto wa pande zileMtarudi kwenye timu zenu OG
🤣🤣🤣🤣🤣Huku hawa kinadada hawajakaa kinyonge 🔥🔥View attachment 3172577
Kiuhalisia zamani walikuwa wanacheza mpira na hiyo kusema walikuwa wanahonga sidhan ila sema tu saiv wanaruka ruka tu uwanjani 🤣🤣🤣🤣115 charges fc ubwa nyie
Visima vya mafuta kuhonga marefa na FA vimeanza kukauka uarabuni
Mnapigwa Leo jinga sana
115 charges fc 1-4 mashetan
Mafisadi ya mpira nyie
Mkuu tutarudi imara tena subiri january, city akipata holding midflida mzuri na centrebacks kwisha kaziConfidence imeshuka Kwa City, hata kocha Sasa hivi hajiamini. Kuna Hali unajua inatokea timu nzima imevurugwa. Hawaamini hata wanachokifanya, angalia hata morali imeshuka, city walikuwa na hekaheka sana siyo mechi hizi wamepoa sana. Timu inakuwa exposed kirahisi sana.