The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Hivi tatizo ni kocha au wachezaji?
Wametoka wangapi na wamekuja msimu huu wangapi chini ya kocha yuleyule.?

Ulikua ni muda tu
Tatizo sio kocha, ingekuwa hivyo makocha wangekuwa wanapata mafanikio timu moja tu.

Shida city sasahivi tupo kwenye vicious cycle, vichapo vimepelekea confidence na morali ya wachezaji kuwa chini, kitu kinachopelekea kula vichapo zaidi and on it goes.

Tukipata sura mpya angalau mbili tu, wataleta energy mpya kwenye timu.
 
Tatizo linakuja kwenye kuwapata wachezaji wazuri wenye bei reasonable January huwa ni changamoto.
Hapa ndipo instincts za ma scout zinahitajika sasa kuangalia wachezaji ambao hawasemwi ila wana potential.
 
IMG-20241222-WA0000.jpg
 
Man City ni kichwa cha mwendawazimu, hadi penalti hamtaki kufunga 😂
 
Back
Top Bottom