The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Pep kuendelea kumpanga Haalaand ni kama kucheza na wachezaji 10. He has become useless. Haalaand yeye kazi yake ni kupiga mpira golini pale nafasi inapopatikana. Na kwa hali ya timu ilivyo sasa, hizo nafasi za yeye kufunga zimekuwa adimu au hamna kabisa.
 
Tutawapa kibu
 
Tatizo linakuja kwenye kuwapata wachezaji wazuri wenye bei reasonable January huwa ni changamoto.
Hapa ndipo instincts za ma scout zinahitajika sasa kuangalia wachezaji ambao hawasemwi ila wana potential.
hivi we Jamaa si uludi tu kwenye Timu yako ya Zamani kwanini unateseka namna hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…