Naona mashabiki mamluki wamekimbia uzi umebaki unajijibu mwenyeweTuna kesi ambayo kuna uwezekano wa kushushwa daraja na wakati hayo yakiendelea,
-Pep kaongeza mkataba wa miaka miwili.
-Haaland kaongeza mkataba mkataba wa miaka 9 na nusu
-Extravagant Spending as usual
Hii ina maana gani?
NdiyoNaona mashabiki mamluki wamekimbia uzi umebaki unajijibu mwenyewe
Ipswich are no match for city