The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Kulikua na speculation kwamba Vitor Reis atabaki Palmeiras kwa mkopo mpaka July.

Anakuja dirisha hilihili, soon anawasili kwa ajili ya vipimo.
 
Pep anasema kilichotuangusha jana ni kwenye ushambuliaji, kwamba hatupo vizuri kwenye ulinzi hivyo ili ku compensate, ilitakiwe tutumie nafasi vizuri tunazopata.

Jana tumetengeneza nafasi nyingi ambazo pep anasema zilikuwa wasted (kuna ukweli hapa).

Still suala la ulinzi ni muhimu, sio kila game tutakuwa tunatengeneza tons of chances.
 
Erling Haaland has extended his contract until 2034🔥🔥🔥
IMG-20250117-WA0001.jpg
 
Dili la Cambiaso January hii linaweza kuwa gumu, maybe tunaweza kumchukua dirisha kubwa la kiangazi.
 
Tuna kesi ambayo kuna uwezekano wa kushushwa daraja na wakati hayo yakiendelea,

-Pep kaongeza mkataba wa miaka miwili.

-Haaland kaongeza mkataba mkataba wa miaka 9 na nusu

-Extravagant Spending as usual

Hii ina maana gani?
 
Tuna kesi ambayo kuna uwezekano wa kushushwa daraja na wakati hayo yakiendelea,

-Pep kaongeza mkataba wa miaka miwili.

-Haaland kaongeza mkataba mkataba wa miaka 9 na nusu

-Extravagant Spending as usual

Hii ina maana gani?
Naona mashabiki mamluki wamekimbia uzi umebaki unajijibu mwenyewe
 
Back
Top Bottom