The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

57 - Manchester City have scored 57 goals in their opening 20 games, the last team to score more were Spurs in 1962-63 (62). History.
 
7 wins in a row now for City. 11 wins, 1 draw and 0 defeats since the 0-1 loss to Sunderland on November 10th. One of our best runs ever?
 
from Premierleague "Man City's Yaya Toure: "Today we did a fantastic job, the team worked very hard and we're really happy. We want to win this trophy" #MCISWA "
 
Last edited by a moderator:
91. Into the first of four additional minutes. Is there to be a winning goal?
 
93. Rhodes with a chipped right-footed effort that goes over Pantilimon's bar as the seconds tick down.
 
BdJI0b8CQAEDFF0.jpg
 
,......mliidharau Blackburn mka field weak side.... Haya sasa.
 
Kwenye kombe la FA, BLACKBURN ROVERS ni timu kubwa kuliko MANCHESTERCITY FC:

Mabingwa wa FA Cup tangu kuanzishwa 1871-1872:
Man utd =11
Arsenal = 10
Spurs = 8
Chelsea = 7
Liverpool = 7
Blackburn Rovers = 6.
Everton = 5.
*Usisahau kwamba Blackburn wamewahi kuwa mabingwa wa Premier League mwaka 95 wakiwa na Allan Shearer #9 wa England.
So does this mean Bayern < Blackburn?
 
The first leg of the other Capital One Cup semi-final tie, between Manchester City and West Ham, will be played at the Etihad this evening. hii from mufc tweeter account
 
Kwenye kombe la FA, BLACKBURN ROVERS ni timu kubwa kuliko MANCHESTERCITY FC:

Mabingwa wa FA Cup tangu kuanzishwa 1871-1872:
Man utd =11
Arsenal = 10
Spurs = 8
Chelsea = 7
Liverpool = 7
Blackburn Rovers = 6.
Everton = 5.
*Usisahau kwamba Blackburn wamewahi kuwa mabingwa wa Premier League mwaka 95 wakiwa na Allan Shearer #9 wa England.
Sijaelewa hapa ina maana gani
quote_icon.png
By ndetichia
So does this mean Bayern < Blackburn?
 
Sijaelewa hapa ina maana gani
quote_icon.png
By ndetichia
So does this mean Bayern < Blackburn?

Kwa sababu Man City iliifunga Bayern Munich kwenye UCL, ajabu ni kwamba Man City imetoka droo na timu ya daraja la kwanza, sasa mkuu ndetichia akauliza Je, inamaana Blackburn ni bora kuliko Bayern? Mimi nikamjibu, wewe umenikuu jibu langu kwa ndetichia ingawa sijui kama ulielewa hoja yangu!
 
Mkuu gutierez alama < inamaanisha ndogo kuliko.
Na alama > inamaanisha kubwa kuliko. Tunakumbushana tu.:hungry:
 
Kwa sababu Man City iliifunga Bayern Munich kwenye UCL, ajabu ni kwamba Man City imetoka droo na timu ya daraja la kwanza, sasa mkuu ndetichia akauliza Je, inamaana Blackburn ni bora kuliko Bayern? Mimi nikamjibu, wewe umenikuu jibu langu kwa ndetichia ingawa sijui kama ulielewa hoja yangu!
lol hii kali poa.
 
leo katika capital one cup

city v the hammers
etihad moja hiyo..

go go city
 
Back
Top Bottom