Hongereni Man City namna hiyo tunakuwana ushindani mzuri.
Kwenye ligi ya EPL naamini mwaka huu tutapata bingwa mzuri:
-Chelsea-Man City-Arsenal huu mwaka mzuri sana. ubingwa utatoka kwenye timu hizo tatu piga ua.
asante sana kwa pongezi lako mkuu..
Silva,Navas,Negredo na Javi Garcia ndio wanaoniweka kuwashabikia.ndo hivo hivo tu mkuu ulivoelewa..
Silva,Navas,Negredo na Javi Garcia ndio wanaoniweka kuwashabikia.
Lionel Messi Is Baaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaack.
kimpango wake tu hata akirudi nikumuombea tu asiumie tena...