Mourinho
JF-Expert Member
- Jul 24, 2012
- 4,619
- 2,327
EMT nadhani tofauti ya bench la Man City na Chelsea ni moja, Mourinho anajaribu kupanga team kutokana na match kwa hiyo wachezaji wengi wanapata muda wa kucheza, kwa mfano jana Luiz na Matic walianza badala ya combination say ya Mikel/Lampard, au Ramires/Lampard
Lakini kwa Pellegrini ni Yaya na Fernandinho all the way, atafanya mabadiliko kwenye FA Cup au Capital One ila kwenye EPL au CL wengine hawapi nafasi. Hii inaathiri uwezo wa wachezaji wanaokalia bench, wakipewa nafasi wanashindwa kushine kwa sababu hawana uelewano mzuri na their mates, na pia unaweza kujiuliza kama kulikua na haja ya kumpeleka Barry kwa mkopo Everton
Kuna wachezaji wazuri tu city inawadumaza, Rodwell, Milner, Richards, Scott Sinclair, Lescott (who is more of a defender than both Nastazic and Demichellis), hawa wote wangekua wanapata playing time sidhan kama jana midfield yao ingekua outplayed na Chelsea

Last edited by a moderator: