The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Kuna timu raha sana kushabikia..yaaani man city sukari tupuuuu
 
Man City ina uhakika wa kuwa katika 3 bora kama Liverpool FC. Ubingwa utakwenda kuleee. Naumia kuupoteza ubingwa wetu halafu hata katika tatu bora hatumo

Tulia dawa iwaingie
 
Kuna timu raha sana kushabikia..yaaani man city sukari tupuuuu

Kigogo kumbe we mnazi wa city? Haya bana kila laheri ktk ubingwa maana mkiwaachia liva au chesi hatutaishi kwa amani mtaani
 
Last edited by a moderator:
Kuna timu epl yaani ikishinda ya7 ikifungwa ya 7...
 
Huyu manywele sijui demichelis ni utumbo,sana sijui manuel anampendea nini huyu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…