Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Man City ina uhakika wa kuwa katika 3 bora kama Liverpool FC. Ubingwa utakwenda kuleee. Naumia kuupoteza ubingwa wetu halafu hata katika tatu bora hatumo
Kuna timu raha sana kushabikia..yaaani man city sukari tupuuuu
Kuna timu epl yaani ikishinda ya7 ikifungwa ya 7...
Kuna timu epl yaani ikishinda ya7 ikifungwa ya 7...
city washaanza kupoteana.. ila we need to calm down..
game imekuwa ngumu..Mkuu vp kuna dalili ya kuchukua point 3!
dk 68 ars 1 - 1 city