aise! utafikiri mechi ushaiona kwenye chungu!
Nachofurahi Mkuu game ya liver na Chelsea ndio title decider!
Naijua Hali halisi ya Sunderland Lkn darajani watapata shida!
Saturday si mbali Mkuu!
Ntuzu Ntuzu Ntuzu Moto wetu utauweza kweli??Maana dah, ngoja tusubiri zile 90mins!!ila Nakumbuka tulikuja kwako tukiwa Hatuna SG8 wala D15 na hapo team ilikua haijatengamaa ilimlazima Howard Webb akusaidie, TUNGOJE 90min kijana wangu usihofu........ila nahisi kama Sunderland nae anawaandalia mshituko, ok lets wait 90mins
Pole sn Mkuu!
Naona timu yako imerudi tena top four?
Tupe wafungaji mkuu.
come on citizens!!!