The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Nachofurahi Mkuu game ya liver na Chelsea ndio title decider!

Naijua Hali halisi ya Sunderland Lkn darajani watapata shida!

Saturday si mbali Mkuu!

Ntuzu Ntuzu Ntuzu Moto wetu utauweza kweli??Maana dah, ngoja tusubiri zile 90mins!!ila Nakumbuka tulikuja kwako tukiwa Hatuna SG8 wala D15 na hapo team ilikua haijatengamaa ilimlazima Howard Webb akusaidie, TUNGOJE 90min kijana wangu usihofu........ila nahisi kama Sunderland nae anawaandalia mshituko, ok lets wait 90mins
 
Wakuu wa huu uzi poleni sana...!
Tatizo mnawalipa mahela mengi mno wachezani wenu mpaka wanavimbiwa then wansshindwa kucheza mpira...!
 
Ntuzu Ntuzu Ntuzu Moto wetu utauweza kweli??Maana dah, ngoja tusubiri zile 90mins!!ila Nakumbuka tulikuja kwako tukiwa Hatuna SG8 wala D15 na hapo team ilikua haijatengamaa ilimlazima Howard Webb akusaidie, TUNGOJE 90min kijana wangu usihofu........ila nahisi kama Sunderland nae anawaandalia mshituko, ok lets wait 90mins

Mkuu Tarehe 27 sio mbali! Kua na subira Bado Siku 10 tu!
 
we need more goals in this half to secure n return the trophy hope..
 
Back
Top Bottom