The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Sherehe zimeanza uwanjani. Sasa turudi studio kutoka hapa tandale uzuri mimi ni reporter wako danny greeny
 
Hongereni sana watani...kama kawaida mwakani mtaturudishia kikombe chetu...

Ila kuna kitu sijaelewa, kuna mpango wa kufanya Etihad iwe 60k seater...sasa kama sasa uwanja haujai hata katika biggest games of the club's history (refer to Barca and Bayern games, even today) hiyo 60k seater itakuwaje?

Anyway, hongereni sana.
 

Nakupongeza sana mkuu Nzi,

Umejitahidi sana kuipa support Man U hata katika mazingira ambayo kila mtu alikuwa anaikimbia.

Naamini mwakani mtafufuka kiduchu!
 
Last edited by a moderator:
MCI wanapewa medals....

Shortly Kompany atabeba kombe...Liv wanatia huruma sana!
 


Hongereni wakuu ... ... money bags .. ..kwa ukweli mmebahatisha sana mwaka huu shukuruni kwa kuchukua ubingwa, wachezaji wenu wengi wazuri tatizo lenu ni mfumo potofu.

 
Hongereni City. Nadhani kuanzia mwaka huu mtazidi kuongeza idadi ya defector toka Old Trafford watabadili majina na jezi muda si mrefu.
 
karibu tushangilie sote jirani

asante jirani nishakaribia na nashukuru mmetunzia ndoo yetu hadi mwakani, kuliko ingeenda kwa jeradi leo ningeumia sana maana alipewa penati za bure nyumbani kwetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…