Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na BiNGWAA NI MANCHESTES CITY, POLE GERADI NA SUAREZ
Hongereni sana watani...kama kawaida mwakani mtaturudishia kikombe chetu...
Ila kuna kitu sijaelewa, kuna mpango wa kufanya Etihad iwe 60k seater...sasa kama sasa uwanja haujai hata katika biggest games of the club's history (refer to Barca and Bayern games, even today) hiyo 60k seater itakuwaje?
Anyway, hongereni sana.
Huyu Gerard alishwahi kuligusa hili kombe?
thubutuu aligusie wapi wakati liva leo wamefikisha mwaka wa 25 bila kulisikia?
karibu tushangilie sote jirani
Wapi Arushaone?