The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Hehehe ndetichia mtu mmoja Huyu anatusumbua sana naye Tuanze kumpa Presha Humu Belo Rubaman Mbu Nzi Huyu mtu naye soon atakuwa hata yeye hayupo hapa yupo peke yake utafikiri wapo 100
 
.......hahaha, nyie #UnidenticalTwins Ab-Titchaz na ndetichiaz leo mmeamua kuniamkia ee?!

Hii team yenu naifananisha enzi zile Malindi ya Zanzibar na mfadhili wake Naushad Mohammed.
Nguvu ya "soda" tu....

#MosKwito !
Naushad Kafia wapi? ZNZ nilikuwa naipenda Small Simba imekufa timu nafikiri Huyu ndetichia yeye timu zake Man City na Azam hehehe anarukia sitostaajabu Kama alikuwa Malindi enzi hizo au PSG sasa hivi.
 
timu azam timu city na Leo tatu muhimu
dk 21 new 0 - 0 city
 
Naushad Kafia wapi? ZNZ nilikuwa naipenda Small Simba imekufa timu nafikiri Huyu ndetichia yeye timu zake Man City na Azam hehehe anarukia sitostaajabu Kama alikuwa Malindi enzi hizo au PSG sasa hivi.

....hahaha, enzi hizo #MotoSmall na jezi zao rangi ya 'Damwati' 😄😄😄
.....

The best game ever ilikuwa Small Simba Vs Pamba Mwanza, 1991(?) kama sikosei.....

Dakika 90, 120, penalti 5/5.... Zikaenda mpaka 7/8....!

#MosKwito !
 
#banter Man United waishukuru Arsenal Jana kushinda walitoka 20 mpaka 17 Leo LFC kushinda wamekuwa 16 na City ikishinda angalau watazidi kupanda tehtehteh! Nzi, Belo Rubaman Mbu
 
Back
Top Bottom