The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Welldone kaka tehtehteh naona upo top eh! Mzee wa jeshi la mtu mmoja.
 
Kuna timu raha sana kushabikia ...yaani kuna wale majirani wanatokewa manundu daily
 
Ab-Titchaz' We mwalimu umeanza visa chacha kilichokufanya uifagilie Mancs ni nini? Unge-wacha ile ile picha yao ya zamani .... rudi kwenye timu yako ya zamani pale kwenye cow-shed au vipi kibarua kitaota nyasi.
 
Back
Top Bottom