Man city bado sana! Hawajafikia kiwango cha kuleta impact kwenye champions league. Wana timu nzuri sana lakini kisaikologia bado sana, Hawajafikia pamoja na kuwa na timu nzuri. Washabiki wa premier league wataendelea kuwakilishwa na Chelsea kwenye hatua za juu kwenye champions league kwa muda mrefu ujao Hata kama hawapendi lakini kwa sasa ndiyo hali halisi. Man city ina wachezaji wazoefu kuliwa chelsea, lakini kama timu, chelsea ina uzoefu kuliko man city, na iko vizuri kisaikologia na inajiamini zaidi ya man city! Kwa kweli man city bado sana. Kwa sasa England ndiyo mwisho wa dunia yao!