Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pako kimya sana humu
Au kwa sababu Barca anashinda leo.
Leo hamshangilii timu ya nyumbani?
Sisi ni jeshi la mtu mmoja.... hatuna desturi ya kushabikia timu zingine.
Naona wachovu wameshalambishwa 2 mpaka sasa
May mwaka jana mlikuwa mnawashangilia walipobeba kombe.... Naona jamaa ni weupe Barca wanaipenya ngome ya City kama wanavyotaka
Tumefungwa kwa sababu ya ndumba alizodakwa nazo chege jukwaani
BAK Watuonyesha huyu mng'ata watu...