The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Man City leo anachapwa kama kasimama...

Kuna uwezekano atachapwa 3 hadi 4
 
Sisi ni jeshi la mtu mmoja.... hatuna desturi ya kushabikia timu zingine.

Naona wachovu wameshalambishwa 2 mpaka sasa

May mwaka jana mlikuwa mnawashangilia walipobeba kombe.... Naona jamaa ni weupe Barca wanaipenya ngome ya City kama wanavyotaka
 
May mwaka jana mlikuwa mnawashangilia walipobeba kombe.... Naona jamaa ni weupe Barca wanaipenya ngome ya City kama wanavyotaka

Barcelona wakitulia vizuri leo... kutakuwa hamna haja kwa Man City kwenda kwenye mechi ya marudiano
 
kwamimi nilivyoona kama Aguero ndie aliyewanyima ushindi au sare man city,amepoteza nafasi nyingi pindi watu wapo kwenye njia baada ya kutoa pasi yeye anataka kushinda mwenyewe...!?
mwisho wa siku wamejitaidi.
 
1977040_10153274575109305_5272662897753948113_n.jpg
 
Eti mng'ata watu hahahahaha lol!.... lakini akiamua kufanya vitu vyake uwanjani kama ni mpenzi wa soka, basi utampenda labda performance yake ya jana itampa motisha ya hali ya juu aanze kufanya vitu vyake kule la liga kama vile vya msimu uliopita kule Liverpool.

BAK Watuonyesha huyu mng'ata watu...
 
Man city bado sana! Hawajafikia kiwango cha kuleta impact kwenye champions league. Wana timu nzuri sana lakini kisaikologia bado sana, Hawajafikia pamoja na kuwa na timu nzuri. Washabiki wa premier league wataendelea kuwakilishwa na Chelsea kwenye hatua za juu kwenye champions league kwa muda mrefu ujao Hata kama hawapendi lakini kwa sasa ndiyo hali halisi. Man city ina wachezaji wazoefu kuliwa chelsea, lakini kama timu, chelsea ina uzoefu kuliko man city, na iko vizuri kisaikologia na inajiamini zaidi ya man city! Kwa kweli man city bado sana. Kwa sasa England ndiyo mwisho wa dunia yao!
 
Back
Top Bottom