The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Manchester City mmejiandaaje na safari ya UEFA, nawatakia kila heri. Mnapenda mbaki ila hamna budi kuondoka.
Safari Njema mabingwa watetezi wa England.
 
Leo burnley ni kuitangazia njaa tu hakuna cha ziada piga hao.. Come on city..
 
bye bye City, Waarab watauza timu muda si mrefu na mtarudi Championship. Mungu aliwapa nafasi kadhaa za kumfukuza Chelsea hadi mwisho. Lakini ndio hivyo uyoga huwa unanyauka kiangazi, Chelsea nao watawafuata muda si mrefu.
 
Sijaangalia hii mechi,aguero,yahya,nasri walikwepo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…