The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Mkuu Mourinho, naomba uje humu kisha utoe uchambuz yakini kuhusiana na mechi ya kesho.
Nini maoni yako, Man City anaweza akamtoa Barca kesho?
 
Hii nyumba naona haina Wenyeji! Wenyeji mpo? Je leo ni kukamilisha ratiba au mtafanya kweli? Hivi ni kweli siku na barafuyamoto mlikuwa mnatunza nguvu za kukabiliana na barca au ndo kuflop kwenyewe?
 
Duuuuuh! masikin man city, kosa kosa hii lazima watalia sasa ivi.
 
Hawa marefa duh.... hivi hapo Fernandinho amebookiwa kwa nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…