palalisote
JF-Expert Member
- Aug 4, 2010
- 8,335
- 1,459
Sijaangalia hii mechi,aguero,yahya,nasri walikwepo?
walikuwepo hawaona ndana pamoja na ball possession ya 71%, 21 attempts
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijaangalia hii mechi,aguero,yahya,nasri walikwepo?
wale majamaa ingawa wako mwishoni huko kwenye msimamo kitu kinachoshangaza mechi zao nyingi lazima wafunge goli hata kama watafungwa,wametumia fursa mojawalikuwepo hawaona ndana pamoja na ball possession ya 71%, 21 attempts
thubutu!!!!!Mkuu Mourinho, naomba uje humu kisha utoe uchambuz yakini kuhusiana na mechi ya kesho.
Nini maoni yako, Man City anaweza akamtoa Barca kesho?
Kama una azam TV tune NBS TV gemu linaoneshwa live