Man City ikifungwa leo Arsenal wanaandaa silaha kwa ajili ya vita na Chelsea.
njema kabisa. habari ya pasaka?
Tunakuja emirates kuwabana mpk Mzee wenu Wenger ugonjwa wake wa kuanguka uje!
Mkuu si masihara patachimbika Emirates.
FT Crystal Palace 2-1 Man City
Bila kunisahau na mimi meno yote 32 nje tunakimbizana na BAK kapoint kamoja, next na mimi niwafanyie kitu mbaya hawa watu ......Naikumbuka sasa na game yetu ya kiporo!
Kesho baba yangu mzazi Mourinho sijui atasemaje huku kufungwa kwa City lol.
Mtaa wa pili pale kwa BAK wameanza kufurahia nafasi ya pili lol
hakuna aliyejua haya matokeo yangekuwa hivi.
hakuna aliyejua haya matokeo yangekuwa hivi.
uyoga wa mjini unanyauka kidogo kidogo bado ule wa darajani