The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Naikumbuka sasa na game yetu ya kiporo!

Kesho baba yangu mzazi Mourinho sijui atasemaje huku kufungwa kwa City lol.

Mtaa wa pili pale kwa BAK wameanza kufurahia nafasi ya pili lol
 
Last edited by a moderator:
Naikumbuka sasa na game yetu ya kiporo!

Kesho baba yangu mzazi Mourinho sijui atasemaje huku kufungwa kwa City lol.

Mtaa wa pili pale kwa BAK wameanza kufurahia nafasi ya pili lol
Bila kunisahau na mimi meno yote 32 nje tunakimbizana na BAK kapoint kamoja, next na mimi niwafanyie kitu mbaya hawa watu ......
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom