Abu Ubaidah Commando
JF-Expert Member
- Sep 8, 2016
- 7,591
- 6,946
Asante kwa taarifa ila naona ilitumiaka miaka 3 iliyopita
Asante kwa taarifa ila naona ilitumiaka miaka 3 iliyopita
Wapinzani wenu walikuwa wamerelax au nao walikuwa na games kama ninyi , Wacha vihidharulaNdan ya cku 7 unakutana na Stock City,Atletico Madrid zen Man city katk point 9 umechukua 6.....hapohapo anatokea mtu mwny IQ ndogo anakuja kuiponda Chelsea
Let them talk....kwasababu binadamu tumeumbwa kuongeaNdan ya cku 7 unakutana na Stock City,Atletico Madrid zen Man city katk point 9 umechukua 6.....hapohapo anatokea mtu mwny IQ ndogo anakuja kuiponda Chelsea
Let them talk....kwasababu binadamu tumeumbwa kuongea
Ndan ya cku 7 unakutana na Stock City,Atletico Madrid zen Man city katk point 9 umechukua 6.....hapohapo anatokea mtu mwny IQ ndogo anakuja kuiponda Chelsea
Huo mpira wa tik tak kamuulize Wenger.heshima ya guardiola nikuuleta mpira wa tik tak epl.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Huo mpira wa tik tak kamuulize Wenger.
Man. City na Man United wameanza kwa mwendo kasi lakini habari za mwendo kasi wamuulize Baba J. Kuendelea na mwendo kasi ni mtihani mgumu kama urais wa kusukumiziwa.
Karibuni utaanza kuviona vipigo vitakavyowapata wana wa Manchester.
Ukimuuliza Malafyale atakwambia ubingwa wa msimu huu unatwaliwa na majogoo yasiyo na mbawa.
Mimi naipa nafasi kubwa Newcastle United kuitwaa ndoo msimu huu.
We are not just scoring,we are passing the net..!
Man City 3 Stoke City 0
29 Minutes so far
Man City.Huo mpira wa tik tak kamuulize Wenger.
Man. City na Man United wameanza kwa mwendo kasi lakini habari za mwendo kasi wamuulize Baba J. Kuendelea na mwendo kasi ni mtihani mgumu kama urais wa kusukumiziwa.
Karibuni utaanza kuviona vipigo vitakavyowapata wana wa Manchester.
Ukimuuliza Malafyale atakwambia ubingwa wa msimu huu unatwaliwa na majogoo yasiyo na mbawa.
Mimi naipa nafasi kubwa Newcastle United kuitwaa ndoo msimu huu.
Simu yangu ilizima chaji mkuu..!Mbona Kimya? Leta matokeo hapa manake Stoke wamecharuka...