The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Asante kwa taarifa ila naona ilitumiaka miaka 3 iliyopita

Mkuu Kaangalie Tena Vizuri! Si mara ya Mwisho Kutumika Miaka 3 iliyopita!!
Mtu wa Mwisho Kupost Katika Wa Man City ni mimi na ilikuwa leo Tarehe 01/10/2017 saa 02:07 za Mchana kabla ya Kufungua huu uzi wako.

IMG_20171001_203630.jpg
 
Ndan ya cku 7 unakutana na Stock City,Atletico Madrid zen Man city katk point 9 umechukua 6.....hapohapo anatokea mtu mwny IQ ndogo anakuja kuiponda Chelsea
Wapinzani wenu walikuwa wamerelax au nao walikuwa na games kama ninyi , Wacha vihidharula
 
Ndan ya cku 7 unakutana na Stock City,Atletico Madrid zen Man city katk point 9 umechukua 6.....hapohapo anatokea mtu mwny IQ ndogo anakuja kuiponda Chelsea
Let them talk....kwasababu binadamu tumeumbwa kuongea
 
Ndan ya cku 7 unakutana na Stock City,Atletico Madrid zen Man city katk point 9 umechukua 6.....hapohapo anatokea mtu mwny IQ ndogo anakuja kuiponda Chelsea

Kwahiyo Man City Alikuwa Likizo bila Ya Kucheza Mechi yoyote au?
 
heshima ya guardiola nikuuleta mpira wa tik tak epl.
Huo mpira wa tik tak kamuulize Wenger.
Man. City na Man United wameanza kwa mwendo kasi lakini habari za mwendo kasi wamuulize Baba J. Kuendelea na mwendo kasi ni mtihani mgumu kama urais wa kusukumiziwa.

Karibuni utaanza kuviona vipigo vitakavyowapata wana wa Manchester.

Ukimuuliza Malafyale atakwambia ubingwa wa msimu huu unatwaliwa na majogoo yasiyo na mbawa.

Mimi naipa nafasi kubwa Newcastle United kuitwaa ndoo msimu huu.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
We are not just scoring,we are passing to the net..!
Man City 3 Stoke City 0
29 Minutes so far
 
Huo mpira wa tik tak kamuulize Wenger.
Man. City na Man United wameanza kwa mwendo kasi lakini habari za mwendo kasi wamuulize Baba J. Kuendelea na mwendo kasi ni mtihani mgumu kama urais wa kusukumiziwa.

Karibuni utaanza kuviona vipigo vitakavyowapata wana wa Manchester.

Ukimuuliza Malafyale atakwambia ubingwa wa msimu huu unatwaliwa na majogoo yasiyo na mbawa.

Mimi naipa nafasi kubwa Newcastle United kuitwaa ndoo msimu huu.
Man City.
 
Safi man city___inanikumbusha vidada vilipigwa na Germany mashine wiki moja co mchezo aise___leo 2mepiga mtu wiki mbili ha ha ha ha ha ha.

Vivaa Man city.
 
Back
Top Bottom