The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Asante wagonga nyundo piga hawa wachovu wanajikuta sana
Waliishachoka hata wasiwatishe
Piga kbs matobo hilo li cheusi mangara
Piga mashuti hapo golini kuna pazia tu mtafunga
Yatoeni kbs ulimi machovu haya
Haya tumekuelewa mkuu.
 
Sikuhizi city wameshaxoea kufungwa halftime then kipindi cha pili ndio wanaanza kucheza mpira lkn kwa ss mashabiki watatupa presha tu. Ile system ya kuwawahi mapema ndio ilikuwa nzuri sio hii ya kusubiri ufungwe ndio uanze mecgi
 
Tatizo kocha ameanza kujiamini.
 
Asante wagonga nyundo piga hawa wachovu wanajikuta sana
Waliishachoka hata wasiwatishe
Piga kbs matobo hilo li cheusi mangara
Piga mashuti hapo golini kuna pazia tu mtafunga
Yatoeni kbs ulimi machovu haya
Mkuu match ikiisha utuletee matokeo
 
Asante wagonga nyundo piga hawa wachovu wanajikuta sana
Waliishachoka hata wasiwatishe
Piga kbs matobo hilo li cheusi mangara
Piga mashuti hapo golini kuna pazia tu mtafunga
Yatoeni kbs ulimi machovu haya
Mkuu vip matokeo ya west ham na ile team ya wachovu?
 
Naona magoli yanapungua mechi ijayo droo na yale mashushushu mekundu
Japo mashushushu wekundu walimpiga arsenal ila mpira wao ulikuwa chini sana, arsenal walistahili ushindi kwenye ile mechi. Man U akicheza ule mpira aliocheza na arsenal juzi, Basi pont 3 kwa City mapema sana.
José Mourinho ni mkali sana wa kuweka defence, anaakili sana kwenye kutengeneza matokeo, Ila squad ya Mancity inatisha mkuu.
 
Back
Top Bottom