Nmeangalia highlights za game chief nmeona tumepoteza nafasi nyingi sana za wazi ambazo tungezitumia wala tusingelala vibaya leo, pia kule nyuma defence inajisahau sana tukiwa tunashambulia timu pinzaniLeo tumepatikana mkuu.
Tatzo hizi draw na timu za kawaida ndio zinazingua mkuu istoshe game bado nyingi sana. Hapo mwisho wa siku ndio unaanza kuwaombea njaa wapinzani ili ww uwinStill bado gap kubwa msiwe na presha ndugu zangu tupo pamoja
Ni kweri mkuu, kama match ya leo sioni sababu ya ku draw.Tatzo hizi draw na timu za kawaida ndio zinazingua mkuu istoshe game bado nyingi sana. Hapo mwisho wa siku ndio unaanza kuwaombea njaa wapinzani ili ww uwin
Acha tu mkuu yani jamaa wameniharibia siku ata Pep nmemuona kamynd sana yani huyo Sterling leo nahisi kala sh☆t sanaNi kweri mkuu, kama match ya leo sioni sababu ya ku draw.
Lakin mi namlaumu Pep, alipomtoa Sterl angemtoa Gundogan.Acha tu mkuu yani jamaa wameniharibia siku ata Pep nmemuona kamynd sana yani huyo Sterling leo nahisi kala sh☆t sana
Ile sub ya sterln aliifanya kwa hasira kama nilimgundua, kuna goli la wazi sana sterl alikosa Pep akachukia sanaLakin mi namlaumu Pep, alipomtoa Sterl angemtoa Gundogan.
Ni kweri na mi niliona. Hasira hasara. Kingine team kaiacha kama vile ilikuw imecheza vizuri. Ilitakiw afanye sub kweny dakika ya 60 au 70Ile sub ya sterln aliifanya kwa hasira kama nilimgundua, kuna goli la wazi sana sterl alikosa Pep akachukia sana
Acha tu ndugu yangu, ila poa tuombe dua game zijazo tufanye kweli hii safari tumeianza vizur sana hatuwez kuiharibu mwishoni....Ni kweri na mi niliona. Hasira hasara. Kingine team kaiacha kama vile ilikuw imecheza vizuri. Ilitakiw afanye sub kweny dakika ya 60 au 70
Pamoja mkuu.Acha tu ndugu yangu, ila poa tuombe dua game zijazo tufanye kweli hii safari tumeianza vizur sana hatuwez kuiharibu mwishoni....
Unajua man u alivyopigwa na Hotspur unasema ile ni timu kubwa kwa kubwa, maana hata sisi hatujakutana nao huwezi jua. ila hawa timu ndogo watukomalie vile? halafu kwanini kila mechi tuliyo droo au kufungwa David Silva huwa hayupo hata benchi na sio majeruhi? kwakweli kutoa droo haikuwa sahihi kwa city.Tatzo hizi draw na timu za kawaida ndio zinazingua mkuu istoshe game bado nyingi sana. Hapo mwisho wa siku ndio unaanza kuwaombea njaa wapinzani ili ww uwin
Nakinacho potezaga raman sana ndio hizo hizo droo mkuu, sasa bora kudroo na timu kubwa kwa sasa sio BunleyUnajua man u alivyopigwa na Hotspur unasema ile ni timu kubwa kwa kubwa, maana hata sisi hatujakutana nao huwezi jua. ila hawa timu ndogo watukomalie vile? halafu kwanini kila mechi tuliyo droo au kufungwa David Silva huwa hayupo hata benchi na sio majeruhi? kwakweli kutoa droo haikuwa sahihi kwa city.
Vipi mkuu bado upo?Mhh..hii thread hivi itadumu kweli?
Unajuaje mkuu?...hii thread haina mwisho mwema! 😀
Mkuu nataman nione comment yako.Nimeuliza kama thread itadumu kwa maana ya kuchangamka. Maana Man City tuijuayo ni timu ya nafasi ya 8-12 kwenye ligi. Tusubiri tuone kama Arab Money ita-deliver performance.
Kwanin asiwepo mkuu?Kuna mshabiki hata mmoja wa MAN CITY hapa JF?
Haha mkuu umeona tulivyoanza kukata ishu zamani? 2009 huko! Tupo tu!Kwanin asiwepo mkuu?
Mkuu leo nimeamua nipitie ishu nzima. Sijuw kama tamaliza. HahahahaHaha mkuu umeona tulivyoanza kukata ishu zamani? 2009 huko! Tupo tu!