The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Ile sub ya sterln aliifanya kwa hasira kama nilimgundua, kuna goli la wazi sana sterl alikosa Pep akachukia sana
Ni kweri na mi niliona. Hasira hasara. Kingine team kaiacha kama vile ilikuw imecheza vizuri. Ilitakiw afanye sub kweny dakika ya 60 au 70
 
Ni kweri na mi niliona. Hasira hasara. Kingine team kaiacha kama vile ilikuw imecheza vizuri. Ilitakiw afanye sub kweny dakika ya 60 au 70
Acha tu ndugu yangu, ila poa tuombe dua game zijazo tufanye kweli hii safari tumeianza vizur sana hatuwez kuiharibu mwishoni....
 
Tatzo hizi draw na timu za kawaida ndio zinazingua mkuu istoshe game bado nyingi sana. Hapo mwisho wa siku ndio unaanza kuwaombea njaa wapinzani ili ww uwin
Unajua man u alivyopigwa na Hotspur unasema ile ni timu kubwa kwa kubwa, maana hata sisi hatujakutana nao huwezi jua. ila hawa timu ndogo watukomalie vile? halafu kwanini kila mechi tuliyo droo au kufungwa David Silva huwa hayupo hata benchi na sio majeruhi? kwakweli kutoa droo haikuwa sahihi kwa city.
 
Nakinacho potezaga raman sana ndio hizo hizo droo mkuu, sasa bora kudroo na timu kubwa kwa sasa sio Bunley

mana nmeona ukuta wetu ni ghar zaidi ila bado haupo vzur sana na istoshe timu kubwa karibia zote sasa hv zipo vizuri ktk upande wa ushambuliaji na hatujakutana bado zaidi ya Liver ambae alitupiga vizuri tu...

Ukiangalia arsenal usajir wamefanya mzuri forwad line yake wapo fit, angalia Tot wanavyoleta tabu sasa hv, man U sio wa kubeza Sanchez kaenda kuongeza kitu pale, sina hakika sana na Chelsea ila naiheshimu timu kubwa ni kubwa tu lolote linaweza kutokea

Sasa hizi timu zitatusumbua sana tusipo jirekebisha mana ukuta wetu unavuja sana tukishambuliwa kwa kasi na mara kwa mara

Mungu tusaidie
 
Nimeuliza kama thread itadumu kwa maana ya kuchangamka. Maana Man City tuijuayo ni timu ya nafasi ya 8-12 kwenye ligi. Tusubiri tuone kama Arab Money ita-deliver performance.
Mkuu nataman nione comment yako.
 
Back
Top Bottom