The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Mkuu siyo 80 tu wamefika 200. Nanionavyo uwezekano wa 500 upo huko mbereni.
 
Sasa kama na leo wakitubahatisha unadhani tutakua ktk mazingira gani?
Nadhani kocha atakuw makini sana. Sababu tukipoteza point hata 1 tutakuw tumejiwekea mazingira mabaya. Tutaanza kucheza kwa presha kubwa. Huku tukigeuka geuka nyuma kuchungulia kwa jirani zetu.
 
Nadhani kocha atakuw makini sana. Sababu tukipoteza point yiyote tutakuw tumejiwekea mazingira mabaya. Tutaanza kucheza kwa presha kubwa. Huku tukigeuka geuka nyuka kuchungulia kwa jirani zetu.
Nikweli kabisa ndugu yangu... ushindi ni muhimu sana ktk game ya leo mana next game nahisi itakua ngumu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…