Pamoja mkuuMimi pia naimani hiyo, ila kikosi ukikipata naomba utume tukione kama kitasadifu ushindi
Mkuu nimeshindwa kukiweka humu. Google Man city utakikuta kule.Mimi pia naimani hiyo, ila kikosi ukikipata naomba utume tukione kama kitasadifu ushindi
Ya let pray hope mambo yatanyookaImani yangu tutawafunga mkuu.
Ivi D. Silva amatatizo gani?Line up leo inaweza kuwa hivi Ederson, Walker, Laporte, Otamendi, Zinchenko, Fernandinho (C), Gündogan, De Bruyne, Sterling, Bernardo, Agüero
Nani katupa?Gooooo
1-0
Sterling mkuuNani katupa?
Tuendelee kuomba Mungu mkuu.Msimu huu ndoo ni yetu wakuu
Nilikua na presha sana baada ya kuona wamechomoa jamaa3-1
54