Aguero anajua sana lakini pia siwezi kumbeza KaneDuh, Goli la Aguero la tano,,huyu jamaa hafai aisee,,, nashangaa waingeleza wanavomshabikia Kane kuwa ni foward Matata,,kwa Aguero bado sana
Hahah leo siku imekua nzur sanaKabisa wamepata cha moto
Hahah naona record hapa kazidiwa hizo assist ata na SanePogba labda anaweza kumfikia dogo Phil phoden
Sane ni mtaalam mnoHahah naona record hapa kazidiwa hizo assist ata na Sane
Alafu nilikua sijui kua M.Salah alishazidiwa magoli na Kane bhnSane ni mtaalam mno
KashapitwaAlafu nilikua sijui kua M.Salah alishazidiwa magoli na Kane bhn
Afadhar sasa na sisi tupumue kidogo maana ilikua kero alivokua anapambwa, walikua hadi wanakufuru kumlinganisha na MessKashapitwa
Aguero ni mzuri ila kuna wakati anakosa magoli ya wazi, ambayo ukimuweka kane kwenye nafasi hiyo hakosi.Duh, Goli la Aguero la tano,,huyu jamaa hafai aisee,,, nashangaa waingeleza wanavomshabikia Kane kuwa ni foward Matata,,kwa Aguero bado sana
Dogo mwaka huu yuko vizuri sana. Man City wangebahatika kuchukuw UCL sina shaka ballon d'Or anapew yeye. Yey ndo kashikilia pumzi yote ya Man City.Hivi bado Kuna watu, wanamfananisha KDB na Pogba, kama wapo wanyooshe vidole. Mechi moja assist tatu
Afadhar sasa na sisi tupumue kidogo maana ilikua kero alivokua anapambwa, walikua hadi wanakufuru kumlinganisha na Mess
Mkuu hapa umetudanganya mi namuelewa zaidi kun ni hatar hata kane anakosa sanaAguero ni mzuri ila kuna wakati anakosa magoli ya wazi, ambayo ukimuweka kane kwenye nafasi hiyo hakosi.
Hahah!! Safi kijana anajitahidi sana ila kwahiyo takwimu hapo ni swala la muda tu
Hahahahaha hao ndo viranja waoHahah!! Safi kijana anajitahidi sana ila kwahiyo takwimu hapo ni swala la muda tu
Hahah!! Hapo sawa kama ni hivyo nakubali asilimia zote mana nilivyoona picha nikajua imewekwa kwania ya kuwashindanishaHahahahaha hao ndo viranja wao
Weeee achana na hiyo kitu mkuu wanasafar ndefu kufikia huko tunaweza tukafa tusione maajabu ya wakina messHahah!! Hapo sawa kama ni hivyo nakubali asilimia zote mana nilivyoona picha nikajua imewekwa kwania ya kuwashindanisha
Mkuu kayeke jana nimeminya koradan hadi zimepusuka walau mtoa sare tu nineishia kupata maumivu hongereni chuma 5 habar mbayaKabisa wamepata cha moto
Aguero angekuw anacheza team ambay inamtegemea yey peke yake nadhani angekuw na magoli zaidi. Pale alipo nitofauti na pale kwa kina Kane.Mkuu hapa umetudanganya mi namuelewa zaidi kun ni hatar hata kane anakosa sana
Hahahah!! Nikweli kabisa kiongozi wangu huko ni mbali sana kwakweli, kama ni race acha tumuwekee hao hao kina Pogba kwanzaWeeee achana na hiyo kitu mkuu wanasafar ndefu kufikia huko tunaweza tukafa tusione maajabu ya wakina mess